Kibegbere-Ejar ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabegbere-Ejar. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiashe. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kibegbere-Ejar imehesabiwa kuwa watu 35,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibegbere-Ejar iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibegbere-Ejar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.