Kibeli (Sudan)
Kibeli ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabeli. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kibeli imehesabiwa kuwa watu 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibeli iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibeli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibeli Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibeli katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/blm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibeli (Sudan) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |