Kibena (Nigeria)
Kibena ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabena. Isichanganywe na lugha ya Kibena nchini Tanzania. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibena imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibena iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibena kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibena Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibena katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/yun
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibena (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |