Kiberti ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan iliyozungumzwa na Waberti. Wakati wa miaka ya 1990, kulikuwa hakuna wasemaji wa Kiberti tena, maana yake lugha imetoweka kabisa kwa vile Waberti walibadilisha lugha yao na kuongea Kiarabu tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiberti iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiberti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.