Kibete
Kibete ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabete. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibete imehesabiwa kuwa watu 50 tu, Wabete wakitumia lugha ya Kijukun badala ya lugha yao. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibete iko katika kundi la Kijukunoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibete kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibete Archived 19 Julai 2013 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibete katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/byf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibete kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |