Kibete-Bendi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabete-Bendi. Mwaka wa 1963 idadi ya wasemaji wa Kibete-Bendi imehesabiwa kuwa watu 36,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibete-Bendi iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibete-Bendi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.