Kibieria
Kibieria ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wabieria kwenye kisiwa cha Epi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kibieria imehesabiwa kuwa watu 70 tu, na lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibieria iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibieria kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibieria Archived 12 Novemba 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibieria katika Glottolog
- lugha ya Kibieria kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibieria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |