Kibikol cha Rinconada
(Elekezwa kutoka Kibikol-Rinconada)
Kibikol ya Rinconada ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabikol. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibikol ya Rinconada imehesabiwa kuwa watu 234,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibikol ya Rinconada iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibikol ya Rinconada kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibikol ya Rinconada Archived 24 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibikol ya Rinconada katika Glottolog
- lugha ya Kibikol ya Rinconada kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibikol cha Rinconada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |