Kibina ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wabina. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kibina tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibina iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibina (PNG) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.