Kibine
Kibine ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabine. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibine imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibine iko katika kundi la “Eastern Trans-Fly”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibine kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibine Ilihifadhiwa 10 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibine katika Glottolog
- lugha ya Kibine kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibine kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |