Kibirked au Kibirgid ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan iliyozungumzwa na Wabirked. Lugha ya Kibirked imetoweka wakati wa miaka ya 1970. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibirked iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibirked kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.