Kibiseni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabiseni. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kibiseni imehesabiwa kuwa watu 4800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiseni iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiseni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.