Kibisu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uthai inayozungumzwa na Wabisu. Mwaka wa 2016 idadi ya wasemaji wa Kibisu imehesabiwa kuwa watu 700, na wote hao pia huzungumza Kithai-Kazkazini. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibisu iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibisu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.