Kibokoto
Kibokoto ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wabokoto. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kibokoto imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibokoto iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibokoto kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibokoto Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibokoto katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bdt
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibokoto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |