Kibola ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabola. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibola imehesabiwa kuwa watu 13,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibola iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.