Kibongo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wabongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibongo imehesabiwa kuwa watu 10,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibongo iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.