Kibonyezo cha kiepushi

Kibonyezo cha kiepushi au kibonyezo kiepushi (kwa Kiingereza: escape key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ziachwe programu.

Kibonyezo cha kiepushi.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.