Kiboselewa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waboselewa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiboselewa imehesabiwa kuwa watu 610. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboselewa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboselewa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.