Kibu Denis Prosper (alizaliwa Mbeya Desemba 4, 1998[1]). ni mchezaji wa soka wa Kitanzania ambaye anacheza kama mshambuliaji (forward) katika klabu ya Simba S.C. iliyoko Dar es Salaam.[2][1][3]

Kazi hariri

Denis alicheza katika klabu ya Mbeya City kabla ya kusaini na Simba S.C. mwezi Agosti 2021, kwa mkataba wa miaka miwili. [4]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Kibu Denis - Simba Sports Club". simbasc.co.tz (kwa en-US). 21 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2023. 
  2. "Denis Kibu Biography". ESPN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2023. 
  3. "Tanzania - K. Denis - Profile with news, career statistics and history". Soccerway. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2023. 
  4. "TFF distances itself from Denis Kibu saga". ippmedia.com. 8 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2023.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibu Denis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.