Kibuhid ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabuhid. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibuhid imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuhid iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibuhid kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.