Kibukwen
Kibukwen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabukwen. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kinaki. Idadi ya wasemaji wa Kibukwen imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibukwen iko katika kundi la Kibeboidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibukwen kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibukwen Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibukwen katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/buz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibukwen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |