Kibuli (Ghana)
Kibuli ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wabuli. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kibuli imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibuli iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibuli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibuli Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibuli katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bwu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibuli (Ghana) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |