Kibunun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wabunun. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibunun imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunun iko katika kundi lake lenyewe la Kibunun.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibunun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.