Kibure ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabure. Iidadi ya wasemaji wa Kibure imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibure iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibure kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.