Kichara
Kichara ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wachara. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kichara imehesabiwa kuwa watu 6930. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichara iko katika kundi la Kiomotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichara Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cra
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |