Kichina ya Gan ni lugha ya Kisino-Tibeti inayozungumzwa na Wahan, hasa katika jimbo la Jiangxi upande wa kusini nchini Uchina. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kichina ya Gan imehesabiwa kuwa watu milioni 21.7. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichina ya Gan iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichina cha Gan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.