Kichini (pia Kiakrukay) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wachini. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kichini imehesabiwa kuwa watu 75 tu, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichini iko katika kundi la Kitamolan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.