Kichuave ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wachuave. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kichuave imehesabiwa kuwa watu 23,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichuave iko katika kundi la Kichimbu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichuave kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.