Kichulym ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wachulym. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichulym imehesabiwa kuwa watu 44 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichulym iko katika kundi la Kiurali.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichulym kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.