Kichuvash ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wachuvash. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichuvash imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichuvash iko katika kundi la Kibolgar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichuvash kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.