Kishingini

(Elekezwa kutoka Kicishingini)

Kishingini (au Cishingini) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washingini. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kishingini imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishingini iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishingini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.