Kicoong
Kicôông ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Vietnam inayozungumzwa na Wacôông. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicôông imehesabiwa kuwa watu 2030. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicôông iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kicôông kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kicôông Ilihifadhiwa 14 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kicôông katika Glottolog
- lugha ya Kicôông kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kicoong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |