Kidagik
Kidagik au Kidengebu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wadagik. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidagik imehesabiwa kuwa watu 38,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagik iko katika kundi la Kikordofani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidagik kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidagik Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidagik katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dec
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidagik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |