Kidair ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wadair. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kidair imehesabiwa kuwa watu 1000 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidair iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidair kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.