Kidargwa
Kidargwa ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wadargwa. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kidargwa imehesabiwa kuwa watu 486,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidargwa iko katika kundi la Kidargi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidargwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidargwa Ilihifadhiwa 22 Juni 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidargwa katika Glottolog
- lugha ya Kidargwa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidargwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |