Kidaza
Kidaza ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadaza. Idadi ya wasemaji wa Kidaza haijulikani ila ni ndogo kwa vile Kidaza huzungumzwa katika vijiji vichache tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaza iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidaza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidaza Archived 20 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidaza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dzd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidaza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |