Kidefaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadefaka. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidefaka imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidefaka iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidefaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.