Kidijim-Bwilim
Kidijim-Bwilim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadijim na Wabwilim. Dijim na Bwilim ni majina ya lahaja mbili za lugha hiyo moja. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidijim-Bwilim imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidijim-Bwilim iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidijim kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidijim Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidijim katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cfa
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidijim-Bwilim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |