Kidinka-Agar (au Kidinka ya Kati Kusini) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Idadi ya wasemaji wa Kidinka-Agar imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Agar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.