Kidinka-Rek (au Kidinka ya Kusini-Magharibi) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wadinka. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kidinka-Rek imehesabiwa kuwa watu 450,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidinka-Rek iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidinka-Rek kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.