Kidirim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadirim. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kidirim imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidirim iko katika kundi la Kidakoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidirim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.