Kidoko-Uyanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadoko. Idadi ya wasemaji wa Kidoko-Uyanga imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidoko-Uyanga iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidoko-Uyanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.