Kidole cha mwisho
Kidole cha mwisho ni kidole cha tano kwenye mkono wa binadamu. Kiko kando ya kidole cha kati cha kando.

1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho
Kwa kawaida ni kidole kidogo mkonononi hivyo kwa lugha nyingi huitwa kwa jina "kidole kidogo".
Sehemu za Mkono wa binadamu | ||
---|---|---|
Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho |