Open main menu
Kiganja pamoja na vidole:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho
Tupaia javanica, Homo sapiens

Kiganja (pia: kitengele) ni sehemu ya mwisho ya mkono inayoishia kwa vidole. Inaunganishwa kwa kiwiko na kigasha.

Binadamu huwa na viganja viwili, kila kimoja huwa kwa kawaida na vidole 5. Mtu hutumia kiganja na vidole kwa kushika vitu na kutumia vifaa vingi.

Sehemu ya ndani ya kiganja ni kofi.

Mtu akikunja vidole pamoja na kiganja ngumi (sumbwi) inapatikana inayotumiwa kwa kupiga kwa ukali kwa mfano wakati wa mchezo wa ngumi.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit