Kidolgan
Kidolgan ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wadolgan. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kidolgan imehesabiwa kuwa watu 1050. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidolgan iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidolgan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidolgan Archived 12 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidolgan katika Glottolog
- lugha ya Kidolgan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidolgan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |