Kidong cha Kaskazini

Kidong ya Kaskazini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 463,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kaskazini iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidong cha Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.