Kidongo
Kidongo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wadongo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidongo imehesabiwa kuwa watu 12,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidongo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidongo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidongo Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidongo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/doo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |