Kidumi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wadumi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidumi imehesabiwa kuwa watu 7640. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidumi iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidumi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.