Kiduna ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waduna. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiduna imehesabiwa kuwa watu 11,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduna iko katika kundi la Kiduna-Bogaya.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.