Kidungmali ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wadungmali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidungmali imehesabiwa kuwa watu 6260. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidungmali iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidungmali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.